Popular posts from this blog
Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo
Msafara wa mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli ukielekea kwenye uwanja wa michezo Chato maarufu kama Mazaina. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Mazaina Chato tayari kuhutubia wakazi wa Chato. Umati wa wakazi wa Chato wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya mkutano kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Musukuma na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo. Hii ndio meza kuu. Shilole akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Chato Chege na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Chato CCM. Mr.Blue akiwapagaisha wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni. Original Komedi wakitumbuiza wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za CCM. Joti akipeana mkono na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ...
Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP
Klabu ya soka ya crystal Palace imetinga hatua ya Fainali ya FA CUP baada ya kuifunga Watford United Bao 2-1 kwenye Nusu Fainali. Kwa matokeo hayo ya mchezo huo uliochezwa Uwanjani Wembley, Jijini London, sasa Palace watakutana na Manchester United ambao waliwatoa Everton 2-1 katika Nusu Fainali nyingine. Hadi Mapumziko Palace walikuwa mbele kwa Bao 1-0 lililofungwa na Yannick Bolasie. Kipindi cha Pili, Watford walimudu kusawazisha kupitia Deeney lakini Dakika 6 tu baadae Connor Wickham akafunga Bao la Pili na la ushindi kwa Palace. Fainali Michuano hii itachezwa Mei 21 hapo hapo katika dimba laaWembley




















Comments
Post a Comment