Posts

Showing posts from December, 2015

MATHIAS IGNAS BLOG INAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016

Image
Asante kwa wote mliokuwa mkipita kusoma habari kweneye blog hii kwa mwaka 2015 na endelea kuwa mmoja kati ya wasomaji wangu kwa mwaka 2016.Ni mwaka mmoja sasa umetimia leo kwa MATHIAS IGNAS BLOG  Tarehe kama ya leo ndiyo blog ilianza kazi ya kukufanya unapata habari kutoka pande mbalimbali za dunia iwe kitaifa,kimataifa,burudani,michezo. nk  HERI YA MWAKA MPYA 2016 ENDELEA KU CLICK NA MIMI KWENYE FACEBOOK,INSTAGRAM,NA TWTTER KOTE JINA NATUMIA MATHIAS IGNAS KWA USHAURI WOWOTE NIANDIKIE MATHIASIGNAS5@GMAIL.COM AU WHATSAPP NAMBA HII 0755551013

Ratiba za Ligi mbalimbali leo december 30, 2015

Image
Leo tena kama kawaida kuna michezo ya ligi mbalimbali binaendelea hapa ni Ratiba za Ligi mbalimbali leo England - Premier League  22:45 Sunderland vs Liverpool Spain - La Liga  18:00 Real Madrid vs Real Sociedad 18:00 Levante vs Málaga 20:15 Sevilla vs Espanyol 20:15 Rayo Vallecano vs Atlético Madrid 20:30 Eibar vs Sporting Gijón 22:30 Getafe vs Deportivo La Coruña 22:30 Barcelona vs Real Betis 22:30 Celta de Vigo vs Athletic Club 23:00 Las Palmas vs Granada Timu zipi kuibuka kidedea

Ommy dimpozi asimulia alivo lala jela marekani

Image
Ni lini na kwasababu gani ? Dimpoz amefunguka kwenye exclusive interview na bongo5 sikuwahi katika maisha yangu kama ipo siku nitalala jela anasema nililala jela kabisa na kubadilisha nguo kabisa nikavaa zile za orange yaani kama prison brake unavoiona ile movie Ommy dimpz amesema yote hayo yalitokea miezi kadhaa iliyopita alikuwa ameenda marekani kutumbuiza kosa lilikuwa nilikuwa naenda kwenye hiyo show lakini viza yangu ilikuwa hairuhusu mimi kufanya show kwahiyo ile viza ikabidi iwe cancelled kwasababu wao wanaangalia nisababu gani iliyokupeleka kule sasa sa  sababu iliyonipeleka haiwezi kunifanya niingie kwahiyo wakaniambia nirudi kubadilisha viza halikuwa tatizo kubwa lakini kulala jela ilikuwa ni sehemu ya utaratibu sio nilienda kama mhalifu anasema  jela niliyolala ni kubwa kwenye jimbo la minesota ambayo ina umbali wa saa zima kutoka uwanja wa ndege anadai alipelekwa akiwa amefungwa pingu kwahiyo nikapigwa pingu nikaingia kweny gari la polisi tukaenda nikabad...

TP MAZEMBE INAVYO FAIDIKA NA UWEKEZAJI WA MOISE KATUMBI

Image
Ndege inayomilikiwa na klabu ya TP Mazembe kwa ajili ya safari za klabu hiyo Kitu kingine kikubwa ambacho Samatta amekieleza katika safari yake ni pamoja na namna ambavyo klabu ya TP Mazembe inavyonufaika na uwekezaji mkubwa wa bilionea Moise Katumbi. Katumbi ameijengea Mazembe uwanja mpya wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa na ambao unaruhusiwa na FIFA kuchezewa michezo ya kimataifa. Lakini pia Katumbi amenunua ndege binafsi ambayo hutumiwa na klabu hiyo katika safari zake binafsi ili kurahisisha usafiri wa timu hiyo pale inapotakiwa kusafiri safari ndefu. Ile ni ndege binafsi ya klabu na ameinunua yule bosi kwa pesa zake, si kwamba amepewa waitumie kwa muda flani, ni yeye mwenyewe ameinunua hiyo ndege isaidie timu itakapokuwa inasafiri. TP Mazembe historia yake ni kama timu ya kifamilia, kabla ya Moise Katumbi kulikuwa na kaka yake ambaye alikuwa anaimiliki hiyo timu. Lakini kakayake aliingia kwenye mambo ya kisiasa lakini historia ya kisiasa nchini Congo DR siyo nzuri, baada...

Vichwa vya habari kwenye magazeti ya leo december 30, 2015

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Samata na asimulia alivopata namba ya kudumu simba soma hapa

Image
Hakuna ubishi kwamba kila mafanikio yanakuja kwa bidii, kujituma, kujitoa, nidhamu na vitu vingine vingi sana tofauti na baadhi ya watu wanavyofikiria kwamba unaweza ukapata mafanikio kwa njia ya mkato bila kupambana. Mafanikio aliyonayo leo Super Star wa soka la Bongo Mbwana Samatta hayajaja hivihivi ‘kimagumashi’, jamaa alikuwa anatoka nyumbani saa 10:30 alfajiri ili awahi mazoezi ambayo ylikuwa yanaanza saa 1:00 asubuhi. Samatta anasema ilimbidi awahi kutoka nyumbani kwasababu alikuwa hana gari na ili asichelewe mazozi, alilazimika kutoka nyumbani muda huo kila siku ili kukwepa adha ya usafiri wa Mbagala kwani angetoka muda mwingine zaidi ya huo basi ni lazima angechelewa mazoezi. Kwasababu muda huo kunakuwa na magari mengi lakini pia kunakuwa hakuna foleni alikuwa anawahi sana kufika uwanjani. Alipokuwa akifika uwanjani alikuwa analala na kila siku kocha wa Simba alikuwa anamkuta Samatta uwanjani hali iliyopelekea kocha wa kipindi hicho Patrick Phiri kutafuta njia ya kumpa...

Serikali yatangaza siku maalum ya usafi

Image
Serikali imeitangaza rasmi siku ya jumamosi ya kila mwisho wa mwezi kuwa ni siku ya usafi na kwamba hatua za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa kwa watendaji wowote watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo. Agizo hilo limetolewa jijini Dar es Salaam na naibu waziri wa ofisi ya makamo wa rais, muungano na mazingira Bw Luoga Mpina ambapo amesema agizo hilo linaanza mara moja huku akisisitiza kuwa lengo kubwa ni kupambana na magonjwa yanaweza kusababishwa na uchafu. Kuhusu athari za mabadiliko ya tabia nchi waziri Mpina amesema Tanzania hupoteza zaidi ya heka laki nne za misitu kila mwaka huku joto la dunia likiongeza kwa nyuzi joto 0.85, ambapo pia kina cha bahari kikiongeka hadi kufikia 19 cm, pia akatumia fursa hiyo kutoa agizo kwa halimashauri zote nchini. Kwa mujibu wa taarifa za wizara hiyo ya makamo wa rais muungano na mazingira, Tanzania inazaidi ya hekta milioni 48.1 za misitu ambayo hutumika kumeza hewa ya kabon tirion 9.03 ambapo juhudi za upandaji miti zikitajwa kusa...

GOLIKIPA WA ARSENAL PETR CECH KASEMA HAYA KUHUSU ARSENAL KUTWAA EPL MSIMU HUU

Image
Golikipa Petr Cech wa klabu ya Arsenal ya England amesema msimu huu klabu yao itaenda mbali zaidi hata kutwaa ubingwa wa ligi kuu kutokana na ari na kikosi imara walichonacho hivi sasa. Arsenal ambao wako nyuma ya vinara Leicester City kwa points 2, wamepoteza mechi moja tu kati ya 11 walizocheza kwenye ligi mfululizo hadi sasa. Cech mwenye miaka 33 ameiambia BBC kuwa klabu hiyo itanufaika zaidi pindi wachezaji wake wote walio majeruhi watakapopona na kuwa sawa na hivyo kumpa mwanya mkubwa meneja wao Arsene Wenger kupanga timu atakavyo. Arsenal ambao ni mabingwa watetezi wa FA Cup walimaliza nafasi ya tatu msimu uliopita wakiachwa kwa points 12 na mabingwa Chelsea, hivi sasa wako katika hali nzuri zaidi sanjari na kuwa na majeruhi. Petr Cech aliyesajiliwa kwa paundi 10m kutoka Chelsea msimu huu anasema kuwa kuna mambo hayawezi kwenda watakavyo kirahisi, na kwamba suala la mejeruhi haliepukiki, lakini ujio wa wachezaji hao utainufaisha klabu yao katika mbio za ubingwa. Arse...

Vichwa vya habari kwenye magazeti ya leo December ,21,2015 hapa

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .