Posts

Showing posts from May, 2016

Majina Ya Kidato Cha Sita 2016 Wanaotakiwa Kujiunga Na JKT Kwa Mujibu Wa Sheria.

Image
    Kama ilivyo ada nchini kwa wahitimu wote kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa  (JKT) kwa mujibu wa sheria ili kupata mafunzo ya kijeshi. Leo hii Jeshi la Kujenga Tifa limetangaza na kutoa majina ya wahitimu wote wa kidato cha sita mwaka huu 2015 ambao watatakiwa kuanza kuripoti katika kambi husika za Mafunzo ya kijeshi (JKT), kuanzia mwezi Juni 08 2015 na mafunzo yataanza rasmi Juni 15 2015.Mafunzo hayo yatachukua muda wa miezi 3 hadi hapo mwezi Septemba 15 2015. Bofya linka hapa chini uweze kusoma majina ya wanafunzi hao na kambi walizopangiwa. BUROMBOLA - KIGOMA RWAMKOMA - MUSOMA MSANGE - TABORA RUVU - PWANI MGAMBO - TANGA MARAMBA - TANGA KANEMBWA-KIGOMA MAFINGA - IRINGA MLALE - SONGEA MTABILA - KIGOMA MAKUTOPORA - DODOMA TAHADHARI:Unapojaribu kufungua na kushindwa kuyaona majina ya Wanafunzi hao ni kutokana mtandao wa jkt,com kuelemewa na watumiaji (SERVER LIMIT CAPACITY) .Watu wanaotembelea mtan...

Majibu ya ukimya wa mchizi MOX

Image
Mchizi Mox asema kuna mambo anafanya ndiyo maana anaonekana kama anafanya muziki kwa kurelax Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Mchizi Mox amefunguka na kuzungumzia kwanini anaonekana anafanya muziki kwa kurelax. Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Mchizi Mox amesema kuna mambo mengi anafanya nje ya muziki ndiyo maana amekuwa akionekana kama anafanya muziki kwa relax. “Unajua zamani muda wangu wote nilikuwa nautumia kwenye muziki, sasa hivi nimekuwa mtu nzima, kuna majukumu yameonyezeka,” alisema Mox. “Lakini kitu kingine sasa hivi nafanya muziki wa meseji, sasa hivi ukisema nipige ngoma kama 'Watu Kibao' watu watacharuka, maisha yamebadilika kwa namna moja hata kwa aina ya muziki ambao jamii unauhitaji,” Aliongeza, “Kwa hiyo muziki wangu kwa sasa ni kila baada ya miezi mitatu. Pia nyimbo zangu hazifanani na za watu wengine, watu wengine wanaweza kutoa nyimbo kila mara kwa sababu meseji wamazoimba hazichelewi kufa, lakini mimi ni msanii ambae nikitoa kazi yangu sitaki ifanan...

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 5

Image

MAJIBU YA ROMA KUHUSU KUBADILISHA STAILI YA MUZIKI WAKE

Image
Msanii wa Hiphop Roma amefunguka kuhusu ujumbe kwenye nyimbo zake na kusema ataendelea kuimba nyimbo hizi mpaka atakapo pata uongozi na utawala utakao badilisha taifa lake na kumfanya aanze kuimba kula bata na starehe. Akizungumza na Fahamu Tv Roma anasema akianza kupata mafanikio ya fedha ataanza kuimba nyimbo za kula bata. “Najaribu kutafuta utawala au uongozi utakao nifanya niimbe bata, nikianza kuimba bata inamaana tumeshinda vita, na sasa naimba kula bata na kuimbia baby’s,ila sasa naendelea kushindilia ili nibaki kuwa mwanaharakati hapa Tanzania“. Roma pia alikata kuweka wazi kuwa amekamatwa na polisi mara ngapi mpaka sasa kutokana na nyimbo zake.