Posts

Showing posts from January, 2015

VICHWA VYA HABARI KWENYE MAGAZETI YA LEO FEB 1,2015

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

SOMA HAPA MOJA KATI YA HABARI ZA LEO KATIKA GAZETI LA MTANZANIA

Zitto Kabwe ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Mwigulu Nchemba , Mbunge wa Iramba Magharibi na pia Naibu Waziri wa Fedha jana walialikwa kushiriki mahojiano katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na Televisheni ya Taifa (TBC) ambapo katika mjadala huo kila mmoja kumsifia mwenzake kwa utendaji kazi uliotukuka. Katika mjadala huo, Mwigulu ambaye ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyeanza kummwagia sifa Zitto kwa jinsi ambavyo amekuwa akitekeleza majukumu yake ya kiuongozi katika nafasi yake ya uenyekiti wa Kamati ya PAC. Mwigulu alisema Zitto na kamati yake kwa ujumla wamekuwa wakifanya kazi kubwa na nzuri ya kibunge na pia kuishauri vizuri serikali na hasa Wizara ya Fedha. Zitto alijibu pongezi hizo muda mfupi kabla ya kuhitimishwa kwa mjadala huo kwa kueleza kuwa iwapo Mwigulu ataonyesha nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu atamuunga mkono, kwa sababu ameonyesha kuwa ni kiongozi mzalendo na mwenye uwezo mkubwa w...

VICHWA VYA HABARI KWENYE MAGAZETI YA LEO JAN 31,2015

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .