Majina Ya Kidato Cha Sita 2016 Wanaotakiwa Kujiunga Na JKT Kwa Mujibu Wa Sheria.

Kama ilivyo ada nchini kwa wahitimu wote kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT) kwa mujibu wa sheria ili kupata mafunzo ya kijeshi.
Leo
hii Jeshi la Kujenga Tifa limetangaza na kutoa majina ya wahitimu wote
wa kidato cha sita mwaka huu 2015 ambao watatakiwa kuanza kuripoti
katika kambi husika za Mafunzo ya kijeshi (JKT), kuanzia mwezi Juni 08
2015 na mafunzo yataanza rasmi Juni 15 2015.Mafunzo hayo yatachukua muda
wa miezi 3 hadi hapo mwezi Septemba 15 2015.
Bofya linka hapa chini uweze kusoma majina ya wanafunzi hao na kambi walizopangiwa.
TAHADHARI:Unapojaribu
kufungua na kushindwa kuyaona majina ya Wanafunzi hao ni kutokana
mtandao wa jkt,com kuelemewa na watumiaji (SERVER LIMIT CAPACITY) .Watu
wanaotembelea mtandao huo kwa muda huo ni wengi sana unashauriwa
kusubiri muda kidogo na kuingia tena.
Comments
Post a Comment