Kampuni ya michezo ya Mayweather promotions yamsajili bondia wa Uganda Sharif Bogere.

sharif
Mayweather promotions imemsajili bondo wa uzito wa chini kutoka Uganda boxer Sharif Bogere aka ‘The Lion’.
Sharif Bogere anaishi Marekani na amepigana mapambani 28 ,kashinda 27, kapigwa 1 na 19 ni knockouts.
Bogere kwa sasa anafundishwa ngumi mjini Las Vegas na mwalimu maarufu Kenny Adams.
Floyd Mayweather amesema “Anafuraha ya kumsajili Sharif Bogere sababu ni bondia mwenye nja na hasira za mafanikio, ana stori nzuri ya ngumi toka aanze na anauwezo wa kuwa bondia bingwa wa dunia”.
Mayweather3

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP