MATHIAS IGNAS BLOG INAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2016




Asante kwa wote mliokuwa mkipita kusoma habari kweneye blog hii kwa mwaka 2015 na endelea kuwa mmoja kati ya wasomaji wangu kwa mwaka 2016.Ni mwaka mmoja sasa umetimia leo kwa MATHIAS IGNAS BLOG 

Tarehe kama ya leo ndiyo blog ilianza kazi ya kukufanya unapata habari kutoka pande mbalimbali za dunia iwe kitaifa,kimataifa,burudani,michezo. nk 

HERI YA MWAKA MPYA 2016


ENDELEA KU CLICK NA MIMI KWENYE FACEBOOK,INSTAGRAM,NA TWTTER KOTE JINA NATUMIA MATHIAS IGNAS KWA USHAURI WOWOTE NIANDIKIE MATHIASIGNAS5@GMAIL.COM AU WHATSAPP NAMBA HII 0755551013

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP