Wakali ambao walionekana takataka mbele ya Mourinho
Jose
Mourinho ni moja ya makocha borani Ulaya lakini amekuwa kikosolewa kwa
kuua baadhi ya vipaji vya wachezaji wazuri sanas. Hawa ndio wachezaji
watano ambao Jose Mourinho aliwauza lakini kwa sasa wanafanya maajabu
katika vilabu vyao.
5.Romelu Lukaku

4.Andre Schurrle

3.Kevin De Bruyne

2.David Luiz

1.Juan Mata

Comments
Post a Comment