picha za mgombea urais wa ccm john pombe magufuli akipiga kura huko chato


 
Mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli amepiga kura asubuhi hii huko Chato mkoani Geita. 


magufuli akiwaonesha watanzania kidole kilicho pigwa muhuli kuashiria ametimiza haki yake ya kuchagua rais,wabunge na madiwani



Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP