Msanii wa Jamaica ashambuliwa na watanzania baada ya kutumia picha ya kampeni za CCM Mwanza kuwashukuru wakenya kwa show aliyoifanya

msanii wa Reggae kutoka Jamaica, Gramps Morgan amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya watanzania kumfumania kwenye mtandao wa Instagram akitumia Picha ya kampeni za CCM kuwashukuru wakenya kwa show aliyoifanya nchini humo.
Jamaica


Aliweka picha hiyo na kuandika “Much love to all our Kenyan fans it was a pleasure to perfom and spend time in such a wonderful country next European tour “kenya #africa #morganiheritage @morganheritage @iamjemere @grampsmorganfans @morganheritageblog”
12135287_161956560818067_886584527_n
Hizi ni baadhi ya Comment za watu kwenye picha hiyo
 Daaah leo hili NJEMBA limeingia “FEMALE TOILET” aweke cm yake chaji kabisa maaana atajutaaaa
 Haha sijawai ona fans wametulia hivi? Uliperform wimbo gani 
I guess zimeruka kichwaniii hahahaa Tanzania since wen imekuwa Kenya hahahah damwaniiiiiii dis z toooooo much wew km unaipenda ccm semaa 2 kuliko kuzua uongoo@kijana_wa_magufuli2015
 @grampsmorgan what the shame..ur the biggest liar lool that is a presidential compain in our country Tanzania not what u call a show lool… we dont even know u here👅👅👅👅👅👅
 Who is stupid it was political campaign don’t cheat the world pls apilogiese us
 Hahahhhahaha chaaaii lol I can’t stop laughing this rastaman is a joke ashawoooo
 That is CCM’s Presidential campaign in Mwanza City Tanzania On Saturday 17th October, 2015 from 01:00 pm to 07:00 pm.
Gramps Morgan ambaye alikua kwenye ziara yake nchini Kenya pamoja na kundi lake la ‘Morgan heritage’  ni mtoto wa msanii  maarufu wa reggae Denroy Morgan, Pia Morgan aliproduce Album ya Bunju Banton “Before the Dawn” iliyoshinda  ‘Best Reggae Album’ kupitia Tuzo za Grammy mwaka 2011
chanzo teamtz.com

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP