List ya Washindi wote wa Tuzo za AFRIMMA 2015 Marekani, Vee Money, Ommy Dimpoz na Diamond nao wamo !!

“EA well represented at the #Afrimma2015 & The Best Winner of the night goes to @diamondplatnumz with 3 Awards!! Salute all EA,” ameandika mtangazaji wa Citizen TV/Radio Citizen, Willy M Tuva aliyekuwepo kwenye tuzo hizo.
Habari njema ni kwamba Mastaa toka Bongo nao wameng’ara zaidi safari hii, katika tuzo hizi  yukoOmmy Dimpoz na Tuzo moja, Vee Money na Tuzo moja pamoja na Diamond Platnumz na Tuzo tatu.
List ya Washindi wote hii hapa mtu wangu, hongera nyingi kwa watu wa nguvu walioshinda AFRIMMA 2015.
Best Male (South Africa) – AKA (South Africa)
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido (Nigeria)
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee aka Vee Money (Tanzania)
Best Female (West Africa) – Yemi Alade (Nigeria)
AFRIMMA Inspirational Song – ‘Alive’>> Bracket Feat. Tiwa Savage Diamond Platnumz
Best DJ (Marekani) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz (Tanzania)
Best Collaboration – All Eyes on Me >> AKA feat. Da Les & Burna Boy
Best Dance Video – ‘Nana’>> Diamond Platnumz
Best Video – Ojuelegba >> Wizkid (Nigeria)
Artist of the Year – Diamond Platnumz (Tanzania)
Legendary Award – Yossou N’Dour (Senegal)
Transformation Awards AFRIMMA- Rais wa Botswana, Ian Khama
Best Video Director- Godfather (South Africa)

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP