Cheki na hii stori ya rapper Lil wayne
Wiki kadhaa zilizopita tulisikia kuwa kuna mtu anashikilia mkanda wa utupu wa Lil Wayne na amekusudia kuusambaza kwenye blogs na websites mbalimbali zinazopokea mikanda hiyo, wanasheria wa Lil Wayne
wakasema itakuwa ngumu kwa yoyote kuuza mkanda huo bila idhini ya
rapper mwenyewe, na kama ikitokea hivyo basi watachukua hatua kali dhidi
ya mtandao huo… kuna mabadiliko yoyote?
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, mkanda wa utupu wa rapper Lil Wayne umeweka headlines kubwa sana baada ya mtandao wa HollywoodStreetKing kuanza kuachia vipande vya mkanda huo na kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, inaonekana Lil Wayne ameanza kukerwa na kitendo hiki.
Wanasheria wa Lil Wayne wameamua kuchukua hatua dhidi ya blog ya HollywoodStreetKing, kwa kuandika barua inayowaonya mtandao huo kuhusu kutumia video hiyo…
chanzo millard ayo.com


Comments
Post a Comment