Sababu ya kufungiwa wimbo wa roma viva roma viva iko hapa

‘Viva Roma’ ya Roma Mkatoliki imefungiwa rasmi na BASATA.
Baraza la sanaa Tanzania BASATA, limeifungia rasmi ngoma ya Roma Mkatoliki iitwayo ‘Viva Roma’ kwa sababu hakuna ushahidi wa alichokiimba.
Taarifa ya BASATA imesema mbali na wimbo huo, pia wamezifungia nyingine zenye mahadhi kama hayo.
Ikumbukwe wiki kadhaa zilizopita, Roma aliandika Instagram kuhusu kutishiwa kufungiwa kwa ‘mkwaju’ huo.

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP