MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KWA CHAMA CHA CHADEMA MOHAMMED MTOI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI

Mgombea
wa Ubunge, jimbo la Lushoto kwa ticket ya CHADEMA (Mohamed Mtoi)
kafariki dunia katika ajali ya gari aliyopata baada ya kutoka kuzindua
Kampeni yake tarafa ya Mlola. Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.

Gari alilopata nalo ajari marehemu
Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi
Comments
Post a Comment