diamond platnumz atangaza tarehe ya kuachia wazi sura ya mwanaye Tiffah
Kama umekua ukifuatilia akaunti za Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari tangu mtoto wao Tiffah
azaliwe utakua umekutana na picha nusu ambayo anaonekana mtoto wao huyo
na sehemu kubwa hua ni kuanzia kwenye kidevu kushuka chini.
Hii
imekua ni style nyingine ya mastaa wetu kadhaa kuchukua mfumo huu wa
kutowapost au kuwaonyesha watoto wao hadi umri fulani ufike,Diamond Platnumz leo ametaja siku ambayo mtoto wao huyo ataonekana sura kwa wale ambao bado hawajapata nafasi ya kumuona.
A photo posted by Chibu Dangote..
(@diamondplatnumz) on Sep 7, 2015
Hii
imekua ni style nyingine ya mastaa wetu kadhaa kuchukua mfumo huu wa
kutowapost au kuwaonyesha watoto wao hadi umri fulani ufike,Diamond Platnumz leo ametaja siku ambayo mtoto wao huyo ataonekana sura kwa wale ambao bado hawajapata nafasi ya kumuona.A photo posted by Chibu Dangote..
(@diamondplatnumz) on Sep 7, 2015
Comments
Post a Comment