TOP TEN YA MASTAA WENYE FOLOWERS WENGI INSTAGRAM

Kim Kardashian amevunja rekodi ya msanii
Beyoncé kwa kuwa na followers wengi zaidi
instagram, mpaka sasa Kim K amepata
followers milioni 44.
Kim kapata watu hawa ndani ya siku chache
baada ya kutangza kutegemea mtoto wa pili na
kuonyesha mabadiliko ya mwili wake.
Hii ndio top ten ya mastaa wenye followers
wengi zaidi duniani.
1. Kim Kardashian — 44,005,604
2. Beyoncé — 43,935,648
3. Taylor Swift — 43,533,226
4. Selena Gomez — 41,843,095
5. Ariana Grande — 41,696,873
6. Justin Bieber — 36,994,254
7. Kendall Jenner — 35,388,483
8. Kylie Jenner — 33,703,166
9. Nicki Minaj — 32,278,123
10. Khloé Kardashian — 30,522,261

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP