mpya kuhusu collabo ya alikiba na neyo





unnamedWeek iliyopita kampuni inayomsimamia Alikiba ‘Rockstar 4000′ ilitangaza ujio wa collabo kati ya Alikiba na msanii wa Marekani, Ne-yo . Siku ya jana Ne-yo alitua jijini Nairobi, Kenya kwa ajili ya Coke studio na hatimaye amekutana na Alikiba na wasanii wengine kutoka Nigeria,Mozambique,Kenya na Uganda
   coke stud

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP