Mashabiki wabadilisha umri wa Don Jazzy kwenye wikipedia yake.
Utani wa mashabiki wa Don Jazzy imechukua
hatua mbaya baada ya mashabiki hawa
kubadilisha umri wa msanii huyu kwenye
profile yake ya Wikipideia.
Umri wa Don Jazzy kwenye kurasa hio
umeandikwa miaka ’46’ wakati Don Jazzy
anamiaka ’32’ . Don Jazzy aliandika Instagram
“Hhahahahahahaha I don Laugh die for here.
See my age ooo. Haba naaa. who did this to
me?”
Comments
Post a Comment