Maneno ya Lowasa kwenye hotuba yake mara baada ya kupitishwa kama mgombea urais wa chadema rasmi

NIMEKUJA KUUNGANA NA CHADEMA KUIONDOA CCM MADARAKANI - LOWASSA
Lowassa: Nataka nichukue fursa hii kuwapongeza wale wenzangu waliojiunga nami, maamuzi magumu lazima yafanyike.
Lowassa: Watanzania wajue katika muungano huu tuna nguvu kubwa, nguvu ya kuweza kuchukua dola asubuhi oktoba 25. 'alfajiri'
Lowassa: Marafiki zangu na ndugu zangu mlioko Z'bar nawaambia hadharani kwamba nimejiunga na mtu ambaye havunji muungano
Lowassa: Kwa watu ambao wamehangaika juu ya nchi hii ni viongozi wa dini, Gwajima, Kakobe na wengine asanteni sana.
Lowassa: CHADEMA 'I came to join you for a reason; , kuwaondoa CCM madarakani
Lowassa: Nataka kuwahaidi kuwa nitapita kila jimbo la nchi hii, kwahiyo unapoondoka hapa kajiandae katika jimbo lako.
Lowassa: Niliwahi kuwaambia waandishi wa habari kwamba sina msamiati wa kushindwa
Lowassa: Mchaka mchaka .....chinja... Aluta continue ..Nawashukuruni sana kwa kunisikiliza. Tutakutana kwenye majimbo

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP