Magufuli kuchukua fomu ya kugombea urais kutoka NEC kesho August ,4,2015
Tunaomba radhi kwa kosa la uchapishaji lililotokea hapo awali. Mgombea Urais Mhe. John Pombe Magufuli anategemea kuchukua fomu ya kugombea Urais kutoka ofisi za NEC kesho (4/8/2015) na sio leo. Kwa pamoja, tutaanzia makao makuu ya CCM, na kusonga wote hadi ofisi za NEC.

Comments
Post a Comment