Baada ya kuchimbwa mkwara na Nuh Mziwanda,Idris Sultan ajibu tuhuma za kumtongoza shilole
Hivi karibu msanii wa Bongo Fleva Nuh
Mziwanda ambaye ni mchumba wa Shilole
alimtuhumu mshindi wa Big Brother Afrika Idrs
Sultan kuwa amekuwa akimtongoza mchumba
wake Shilole. Nuh aliweka wazi kuwa hata sms
za simu ameziona.
Hili ndio jibu la Idris.
” Kati ya vitu sisubiri kuambiwa ni ikiwemo
kuwa am social. Tabia yangu ikiwemo kupenda
watu na kufanya mazungumzo na wengi. Sasa
unapokuja na agenda za nje kwangu
nakukaribisha sio kuwa sikujui ila nakuvumilia
na kukupa mda wa kujirekebisha. Kama
mwanaume uliyekamilika huwezi kuja insta
kiholelaholela kulalamika kuwa mwanamke
wako anasumbuliwa,
1. Huna namba yangu
2. Mbona mwanamke wako hasemi
3. Ulikua unafanya nini kwenye simu yake
kukagua message au na pochi unambebea
4. Naanzia wapi kumsumbua mwanamke wako,
hivi umemuona wangu kwakweli ?
5. We ni mwanamziki au muuza magazeti
mbona uswahili sana ?. Ukitaka kumsumbua
wangu sikukatazi ila njoo na dictionary. Watu
tuna amani na upendo ila vipepeo vyako
vinaweza kuleta unnecessary riots. Najulikana
Africa nina mashabiki wanaonipenda na
walionichagua na nina ndoto zangu na zao za
kutimiza ukijua levo uliyopo na levo niliyopo
angalau siku ukijulikana hata kinondoni vizuri
basi utajua kina nani wa kuwaheshimu na nani
wa kuwapigia kelele.
Shishi baby boo lovie sweetie we will support
you all day everyday regardless ya wrong
choice of men uliyoifanya hapa. ”
Ujumbe Huu uliambatana na picha ya Mpenzi
wa Idris.
Comments
Post a Comment