YANGA YATAMBULISHA VIFAA VYAKE VIPYA LEO JULAI 1,2015

Wachezaji wapya wa Yanga Donald Dombo Ngoma (kulia) na Joseph Tetteh Zutah walipokuwa wakitambulishwa leo mbele ya waandishi wa habari na mkurugenzi wa kitengo cha habari Jerry Murro. Wote wamesaini mkataba wa miaka 2.

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP