Tetesi za soka dirisha la usajili Ulaya Jumatano Julai 1, 2015

Manchester United wataongeza dau lao la pauni milioni 30 kumtaka beki Sergio Ramos, 29, ikiwa tu Real Madrid nao wataongeza dau kwa kipa David De Gea, 24 (Mirror) hata hivyo mama yake Ramos Paqui Garcia amesema mwanaye anataka kubakia Bernabeu (Antena 3).
Crystal Palace wanazungumza na Paris Saint-Germain kuhusu kumsajili kiungo Yohan Cabaye, 29 kwa pauni milioni 10 (Guardian).
Meneja wa Stoke City Mark Hughes atalipa pauni milioni 4.4 kumsajili kiungo kutoka Ghana Emmanuel Agyemang-Badu, 24 kutoka Udenese (Daily Star).
Manchester City watakabiliwa na ushindani mkali kuwapata viungo wanaowataka, Kevin De Bryne, 24 ambaye Wolfsburg wamesema hawatamuuza huku Paul Pogba wa Juventus akisubiri uchaguzi wa Barcelona (Daily Telegraph).
 City huenda wakaelekeza nguvu zao kwa kiungo wa Napoli Marek Hamsik, 27, kwa pauni milioni 20 (Sun).
Manchester City wanapanga kumchukua Pep Guardiola kuziba nafasi ya Manuel Pellegrini katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, lakini Pellegrini amedhamiria kusalia Etihad na anataka kuanza mazungumzo ya mkataba mpya (Daily Star).
Aston Villa wanataka kumsajili Esteban Cambiasso, 34 baada ya mkataba wake kumalizika Leicester City (Sun). Newcastle United watalazimika kulipa pauni milioni 9 kama wanataka kumsajili mshambuliaji Bas Dost, 26 kutoka Wolfsburg (Daily Express). 
Beki wa Uruguay Sebastian Coates, 24, atahamia moja kwa moja Sunderland kutoka Liverpool (Guardian). Mshambuliaji wa Aston Villa Chrstian Benteke, 24 atakataa kuhamia Tottenham hata kama mkataba utafikiwa kwa sababu anataka kwenda Liverpool (London Evening Standard).
Kiungo wa Atletico Madrid Arda Turan, 28 anayenyatiwa na Chelsea na Manchester United atatangaza anakwenda wapi ifikapo Ijumaa (Manchester Evening News).
Chelsea wanatarajiwa kuthibitisha usajili wa mkopo wa Radamel Falcao, 29 baada ya kukubaliana maslahi binafsi na mshahara wa pauni 130,000 kwa wiki (London Evening Standard).

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Ndugu Allan Kijazi akizungumza jambo,wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Wahariri wa Habari Tanzania,mapema leo asubuhi jijini Mwanza.Ndugu Kijazi alisema kuwa Utalii ni sekta mtambuka na inachochea ukuaji wa sekta nyingine ikiwa ni pamoja na kilimo, usafirishaji wa anga na barabara, huduma za fedha, huduma za chakula na malazi kudorora kwa sekta nyinginezo. "Hivyo kudorora kwa sekta hii huchangia kwa kiasi kikubwa kudorora kwa sekta nyingine. Aidha, hadi sasa, Utalii unaongoza katika kuingiza fedha za kigeni ikiwa ya kwanza na kufuatiwa na sekta ya madini na kilimo. Kwa na kwa ujumla unachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa lakini tathmini inaonyesha sekta hii inaweza ikachangia zaidi ya 30% ya pato la Taifa. Asilimia zaidi ya 80 ya utalii nchini ni utalii wa kutembelea kwenye Hifadhi za Taifa, na hii inaonyesha kuwa hifadhi hizi ni muhimu kwa ustawi wa taifa letu. Ni zaidi ya mara tatu ya idadi ya wanaotembelea Hifadhi hizi'',alisema Ndugu Kijazi. Alisema kuwa Maeneo yaliyo chini ya Hifadhi za Taifa yana faida nyingi za kiikolojia (ecosystem services) kama vile kuwa vyanzo vya maji (mfano; Hifadhi za Kilimanjaro, Arusha na Udzungwa). Maji hayo pia hutumiwa kwa ajili ya kuzalisha umeme unaotumika kwenye gridi ya Taifa. Hivyo faida za kusimamia Hifadhi hizi haziishii tu kwa watalii kufurahia bali pia kuna faida nyingine za kiuchumi ambazo sio rahisi sana kuziainisha katika mfumo wa kifedha (i.e. other values which are not easily tagged in financial terms). Ndugu Kijazi alisema mwaka huu 2015, mtandao maarufu wa kimataifa unaojulikana kwa jina la “Safari Bookings” uliiteua Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuwa “The best park for African safaris” na hii ni baada ya kushindanishwa na hifadhi nyingine 50 Barani Afrika zikiwemo za Afrika Kusini.Aidha, Hifadhi za Mikumi na Arusha zilitunukiwa “Certificate of Excellence” na mtandao maarufu duniani ujulikanao kama TripAdvisor. Katika ufunguzi wa Warsha hiyo,Ndugu Kijazi alisema kuwa, Kauli mbiu ya Mkutano wa mwaka huu ni “Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kukuza utalii”. aliongeza kusema kuwa pamoja na kuelezea shughuli za TANAPA, mada zitakazowasilishwa zitahusu masuala ya Utalii na Uhifadhi na namna wanahabari wanavyoweza kushirikiana na TANAPA katika kuhimiza uhifadhi na kuendeleza utalii. "Mada kuu nne zitawasilishwa na viongozi wa TANAPA na wanazuoni maarufu akiwemo Nd. Jenerali Ulimwengu na Dkt. Alfred Kikoti. Inatarajiwa kuwa washiriki watapata fursa ya kuchangia na mwishoni watatushauri namna ya kuboresha utekelezaji wa majukumu yetu",alisema Kijazi. PICHA NA MICHUZI JR-MWANZA Mkurugenzi wa Utalii na Masoko TANAPA,Bwa.Ibrahim Mussa akifafanua jambo katika Warsha ya siku tatu ya Wahariri wa Habari na Wana habari kutoka vyombo mbalimbali,inayofanyika jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kauli mbiu ya Mkutano wa mwaka huu ni “Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kukuza utalii”. Pamoja na kuelezea shughuli za TANAPA,aidha imeelezwa katika Warsha hiyo kuwa mada zitakazowasilishwa zitahusu masuala ya Utalii na Uhifadhi na namna wanahabari wanavyoweza kushirikiana nasi katika kuhimiza uhifadhi na kuendeleza utalii. Baadhi ya Wahari wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri katika Warsha ya siku tatu ya Wahariri wa Habari kutoka vyombo mbalimbali,inayofanyika jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kauli mbiu ya Mkutano wa mwaka huu ni “Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kukuza utalii”. Pamoja na kuelezea shughuli za TANAPA. Meneja Uhusiano wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchni (TANAPA),Pascal Shelutete akifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa kwenye semina hiyo mapema leo asubuhi jijini Mwanza Baadhi ya Wahari wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri katika Warsha ya siku tatu ya Wahariri wa Habari kutoka vyombo mbalimbali,inayofanyika jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kauli mbiu ya Mkutano wa mwaka huu ni “Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kukuza utalii”. Pamoja na kuelezea shughuli za TANAPA. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA),Ndugu Allan Kijazi pichani kati na Meneja Uhusiano wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchni (TANAPA),Pascal Shelutete akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Utalii na Masoko TANAPA,Bwa.Ibrahim Mussa katika Warsha ya siku tatu ya Wahariri wa Habari na Wana habari kutoka vyombo mbalimbali,inayofanyika jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kauli mbiu ya Mkutano wa mwaka huu ni “Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kukuza utalii”. Uongozi wa juu wa TANAPA wakiwa katika picha ya pamoja na Wahariri wa Habari kutoka vyombo mbalimbali. Uongozi wa juu wa TANAPA wakiwa katika picha ya pamoja

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Manchester United wataongeza dau lao la pauni milioni 30 kumtaka beki Sergio Ramos, 29, ikiwa tu Real Madrid nao wataongeza dau kwa kipa David De Gea, 24 (Mirror) hata hivyo mama yake Ramos Paqui Garcia amesema mwanaye anataka kubakia Bernabeu (Antena 3).
Crystal Palace wanazungumza na Paris Saint-Germain kuhusu kumsajili kiungo Yohan Cabaye, 29 kwa pauni milioni 10 (Guardian).
Meneja wa Stoke City Mark Hughes atalipa pauni milioni 4.4 kumsajili kiungo kutoka Ghana Emmanuel Agyemang-Badu, 24 kutoka Udenese (Daily Star).
Manchester City watakabiliwa na ushindani mkali kuwapata viungo wanaowataka, Kevin De Bryne, 24 ambaye Wolfsburg wamesema hawatamuuza huku Paul Pogba wa Juventus akisubiri uchaguzi wa Barcelona (Daily Telegraph).
 City huenda wakaelekeza nguvu zao kwa kiungo wa Napoli Marek Hamsik, 27, kwa pauni milioni 20 (Sun).
Manchester City wanapanga kumchukua Pep Guardiola kuziba nafasi ya Manuel Pellegrini katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, lakini Pellegrini amedhamiria kusalia Etihad na anataka kuanza mazungumzo ya mkataba mpya (Daily Star).
Aston Villa wanataka kumsajili Esteban Cambiasso, 34 baada ya mkataba wake kumalizika Leicester City (Sun). Newcastle United watalazimika kulipa pauni milioni 9 kama wanataka kumsajili mshambuliaji Bas Dost, 26 kutoka Wolfsburg (Daily Express). 
Beki wa Uruguay Sebastian Coates, 24, atahamia moja kwa moja Sunderland kutoka Liverpool (Guardian). Mshambuliaji wa Aston Villa Chrstian Benteke, 24 atakataa kuhamia Tottenham hata kama mkataba utafikiwa kwa sababu anataka kwenda Liverpool (London Evening Standard).
Kiungo wa Atletico Madrid Arda Turan, 28 anayenyatiwa na Chelsea na Manchester United atatangaza anakwenda wapi ifikapo Ijumaa (Manchester Evening News).
Chelsea wanatarajiwa kuthibitisha usajili wa mkopo wa Radamel Falcao, 29 baada ya kukubaliana maslahi binafsi na mshahara wa pauni 130,000 kwa wiki (London Evening Standard).
Manchester United wataongeza dau lao la pauni milioni 30 kumtaka beki Sergio Ramos, 29, ikiwa tu Real Madrid nao wataongeza dau kwa kipa David De Gea, 24 (Mirror) hata hivyo mama yake Ramos Paqui Garcia amesema mwanaye anataka kubakia Bernabeu (Antena 3).
Crystal Palace wanazungumza na Paris Saint-Germain kuhusu kumsajili kiungo Yohan Cabaye, 29 kwa pauni milioni 10 (Guardian).
Meneja wa Stoke City Mark Hughes atalipa pauni milioni 4.4 kumsajili kiungo kutoka Ghana Emmanuel Agyemang-Badu, 24 kutoka Udenese (Daily Star).
Manchester City watakabiliwa na ushindani mkali kuwapata viungo wanaowataka, Kevin De Bryne, 24 ambaye Wolfsburg wamesema hawatamuuza huku Paul Pogba wa Juventus akisubiri uchaguzi wa Barcelona (Daily Telegraph).
 City huenda wakaelekeza nguvu zao kwa kiungo wa Napoli Marek Hamsik, 27, kwa pauni milioni 20 (Sun).
Manchester City wanapanga kumchukua Pep Guardiola kuziba nafasi ya Manuel Pellegrini katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, lakini Pellegrini amedhamiria kusalia Etihad na anataka kuanza mazungumzo ya mkataba mpya (Daily Star).
Aston Villa wanataka kumsajili Esteban Cambiasso, 34 baada ya mkataba wake kumalizika Leicester City (Sun). Newcastle United watalazimika kulipa pauni milioni 9 kama wanataka kumsajili mshambuliaji Bas Dost, 26 kutoka Wolfsburg (Daily Express). 
Beki wa Uruguay Sebastian Coates, 24, atahamia moja kwa moja Sunderland kutoka Liverpool (Guardian). Mshambuliaji wa Aston Villa Chrstian Benteke, 24 atakataa kuhamia Tottenham hata kama mkataba utafikiwa kwa sababu anataka kwenda Liverpool (London Evening Standard).
Kiungo wa Atletico Madrid Arda Turan, 28 anayenyatiwa na Chelsea na Manchester United atatangaza anakwenda wapi ifikapo Ijumaa (Manchester Evening News).
Chelsea wanatarajiwa kuthibitisha usajili wa mkopo wa Radamel Falcao, 29 baada ya kukubaliana maslahi binafsi na mshahara wa pauni 130,000 kwa wiki (London Evening Standard).
Manchester United wataongeza dau lao la pauni milioni 30 kumtaka beki Sergio Ramos, 29, ikiwa tu Real Madrid nao wataongeza dau kwa kipa David De Gea, 24 (Mirror) hata hivyo mama yake Ramos Paqui Garcia amesema mwanaye anataka kubakia Bernabeu (Antena 3).
Crystal Palace wanazungumza na Paris Saint-Germain kuhusu kumsajili kiungo Yohan Cabaye, 29 kwa pauni milioni 10 (Guardian).
Meneja wa Stoke City Mark Hughes atalipa pauni milioni 4.4 kumsajili kiungo kutoka Ghana Emmanuel Agyemang-Badu, 24 kutoka Udenese (Daily Star).
Manchester City watakabiliwa na ushindani mkali kuwapata viungo wanaowataka, Kevin De Bryne, 24 ambaye Wolfsburg wamesema hawatamuuza huku Paul Pogba wa Juventus akisubiri uchaguzi wa Barcelona (Daily Telegraph).
 City huenda wakaelekeza nguvu zao kwa kiungo wa Napoli Marek Hamsik, 27, kwa pauni milioni 20 (Sun).
Manchester City wanapanga kumchukua Pep Guardiola kuziba nafasi ya Manuel Pellegrini katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, lakini Pellegrini amedhamiria kusalia Etihad na anataka kuanza mazungumzo ya mkataba mpya (Daily Star).
Aston Villa wanataka kumsajili Esteban Cambiasso, 34 baada ya mkataba wake kumalizika Leicester City (Sun). Newcastle United watalazimika kulipa pauni milioni 9 kama wanataka kumsajili mshambuliaji Bas Dost, 26 kutoka Wolfsburg (Daily Express). 
Beki wa Uruguay Sebastian Coates, 24, atahamia moja kwa moja Sunderland kutoka Liverpool (Guardian). Mshambuliaji wa Aston Villa Chrstian Benteke, 24 atakataa kuhamia Tottenham hata kama mkataba utafikiwa kwa sababu anataka kwenda Liverpool (London Evening Standard).
Kiungo wa Atletico Madrid Arda Turan, 28 anayenyatiwa na Chelsea na Manchester United atatangaza anakwenda wapi ifikapo Ijumaa (Manchester Evening News).
Chelsea wanatarajiwa kuthibitisha usajili wa mkopo wa Radamel Falcao, 29 baada ya kukubaliana maslahi binafsi na mshahara wa pauni 130,000 kwa wiki (London Evening Standard).

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP