Terry aanika makombe yote aliyowahi kuchukua katika tasnia ya mpira wa miguu, ingia hapa kuona alichokifanya

Akiwa katika kipindi hiki cha mapumziko, nahodha wa Chelsea John ametumia likizo yake hii kujikumbusha mafanikio yake tangu alipoanza tasnia ya mpira wa miguu mpaka sasa alipofikia.
Mlinzi huyo mahiri aliweka picha ya kabati ambalo lina makombe yote aliyowahi kuchukua katika mtandao wa Instagram jana, huku likiongezeka la ligi kuu ambalo wamechukua msimu huu uliomalizaika wa 2014-15 ambalo alicheza kila dakika ya mchezo mpaka msimu kuisha.
Haya ndio makombe ambayo Terry ameweza kujinyakulia katika kipindi chote ambacho ameichezea Chelsea.
Jumla ya makombe aliyojinyakulia Terry
Ligi kuu: 4
Kombe la FA: 5
Kombe la Ligi: 3
Ligi ya Mbingwa: 1 
Kombe la Uropa: 1 

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP