Nasri aposti ujumbe huu kwenye Twitte yake kukanusha taarifa za kurudi Arsenal
Samir Nasri ametupilia mbali uvumi unaomhusisha na kumuomba Arsene Wenger kama kuna uwezekanao wa kurudi kukipiga tena Arsenal.
Kwa
mujibu taarifa zilizoenea siku ya Alhamisi wiki iliyopita, inasemekana
Nasri kwa sasa hajatulia katika klabu yake ya Man City, hivyo kuomba
kurudi tena katika klabu yake hiyo ya zamani.

Mwanzoni kabisa Nasri aliposti ujumbe huu hapo juu lakini ghafla aliufuta

'Never ask anyone for a comeback so stop with those silly rumors [sic]'
Nasri then posted: 'Never asked anyone to comeback!! Really happy where i am right now so stop with your silly story.'
Aya ya kwanza anamaanisha hivi;
Sijamuomba yeyote yule kurudi Arsenal, hivyo achezi uzushi usio na mantiki.
Aya ya pili anamaanisha;
Ninafurahia maisha ya hapa nilipo, hivyo acheni habari zenu za kizushi.
Ikumbukwe tu Nasri aliondoka Arsenal mwaka 2011 na kujiunga na matajiri wa jiji la Manchester, timu ya Manchester City.

Comments
Post a Comment