Manchester united yamu winda Robert Lewandowski

 Manchester united yalengea kumhamisha Robert Lewandowski
Manchester United imeweka mchezaji mwingine wa Bayern Munich kwenye orodha ya mahitaji baada ya kuwasili kwa Bastian Schweinsteiger, sasa ni Robert Lewandowski, kwa mujibu wa ripoti.
Kwa mujibu wa Telegraph, mshambuliaji wa Bayern, Robert Lewandowski amewekwa kwenye orodha ya kwanza ya Van Gaal mbele ya majina mengine kama Edinson Cavani na Karim Benzema kumbadili Robin van Persie aliyejiunga na Fenerbahce.
Lewandowski huyu alicheza mechi 49 na kufunga mabao 25 kwa Mabingwa wa Budesliga tangu ajiunge na klabu kutoka Borussia Dortmund mwaka jana

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP