Je unaruhusiwa kupiga picha ndani ya White House? Michelle Obama

Mara nyingi maeneo kama Ikulu, au kwenye Kambi za Jeshi huwa hairuhusiwi kabisa mtu yoyote kupiga picha.. hiyo marufuku ilikuepo pia ndani ya Ikulu ya White House Marekani.
Mara nyingi maeneo kama Ikulu, au kwenye Kambi za Jeshi huwa hairuhusiwi kabisa mtu yoyote kupiga picha.. hiyo marufuku ilikuepo pia ndani ya Ikulu ya White House Marekani.
Jana 'First Lady' wa Marekani, Michelle Obama aliposti kipande cha video kwenye Ukurasa wake Instagram.. ujumbe wake ni kwamba kuanzia jana ilikuwa ni ruksa kwa mtu yeyote na mgeni atakayeingia ndani ya Ikulu ya White House kupiga picha na kubaki na kumbukumbu yake ya nguvu kabisa.

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP