BREAKING NEWZZZ...ROBIN VAN PERSIE AONDOKA MAN UNITED AJIUNGA NA TIMU HII KWA MIAKA MINNE

Japokuwa bado kuna mambo machache ambayo yanaitajika kumaliziwa na
kukubaliwa na Van Persie mwenyewe, lakini sehemu kubwa ya dili la
uhamisho wa Van Persie umekamilika.
Guiliano Terraneo director wa Fenerbahce alisafiri kwenda London hivi
karibuni kwa ajili ya mazungumzo kuhusu uhamisho wa Van Persie na
mazungumzo hayo yamezaa matunda kwa Manchester kukubali kumuuza Van
ambae amebakisha mwaka mmoja wa mkataba wake.
Vipengele vimebakika vichache sana ili uhamisho kamili ufanyike na
inategemewa weekend hii Fenerbahce watamtangaza kama mchezaji wao mpya
Comments
Post a Comment