taarifa ya kifo cha Mbunge wa Mbinga Kapteni John Komba

Kapteni John Komba enzi za uhai wake akiwa kwenye kikao cha Bunge.
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM, Kapteni John Komba amefariki leo, taarifa iliyotolewa kwenye ukurasa wa Twitter wa Chama cha CCM, hajawamesema chanzo cha kifo chake.
Katika Tweet hiyo imeandikwa kwamba Mbunge huyo amefariki akiwa hospital ya TMJ.
Marehemu Kapteni Komba alikuwa kiongozi wa bendi ya TOT.
RIP Kapteni Komba
Comments
Post a Comment