TAZAMA NYUMBA MPYA YA MSHINDI WA BIG BROTHER 2014 IDRIS SULTAN

Idris 1 houseNi mshindi wa Big brother Africa 2014 Idris Sultan ambae anaendeleza matunda ya ushindi wake wa BBA na sasa kajipatia nyumba yake ya kuishi ambayo pamoja na mengine ina sebule mbili na anatarajia kuanza kuishi kwenye nyumba hii kuanzia Jumapili January 25 2015.
Idris 2 house
Nyumba ipo Mbezi Beach Dar es salaam.

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP