SOMA HII INAYO MUHUSU STAA KUTOKA MAREKANI KIM KARDASHIAN

Umaarufu wa mwanamitindo wa kimataifa Kim Kardashian haukuja ghafla kwani tangu akiwa na umri wa miaka 13 alikua na ndoto za kuja kuwa mtu maarufu.
hero
Hiyo ni video ya mwaka 1994, akiwa na miaka 13 tu alisema anatamani sana kuja kuwa mtu maarufu, ndicho alichokuwa akitarajia siku moja kitokee kwake.
Katika video hiyo Kim alionekana akiwa na ndugu zake, Kourtney, Rob, Kris Jenner pamoja na Bruce.

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP