HII NI TAARIFA INAYOHUSU KUACHIWA KWA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYA BIASHARA

MINJA (2)Hii ni taarifa ambayo imetoka jioni  ya January 28 na kusambazwa ikiwa ni kuhusu kuachiwa kwa dhamana kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania ambaye alikamatwa jioni ya January 26,kisha kupelekwa Dodoma sehemu ambako inasemekana ndiko ilikofunguliwa kesi yake. Wafanyabiashara wa mikoa ya Morogoro na Iringa nao waliungana na wafanyabiashara wa Kariakoo kutofungua maduka yao kwa kile walichokieleza kuwa mpaka hatma ya Mwenyekiti wao huyo kuachiwa huru.

Comments

Popular posts from this blog

Pichaz za matukio yaliyo jiri magufuli alipokuwa chato leo

Crystal Palace kuivaa Man united –FA CUP